Skendo ni filamu inayotarajiwa kuingia sokoni mwezi wa 3 mwaka huu. Niliwahi kuzungumza katika blog hii kuwa itakuwa ni kali na yenye mabadiliko makubwa sana ukilinganisha na filamu nyingi zilizowahi kuonekana mwaka uliopita. Ili kuthibitisha hilo hebu angalia hii treiler kisha unipe maoni yako kupitia blog hii.
No comments:
Post a Comment